Aliyekuwa kapteni wa LA Lakers, Kobe Bryant, anapiga mnada kifaa chake cha kujikinga pua ili kuchangisha fedha kwa taasisi ya kujitolea, kikitarajiwa kuuzwa kwa kiasi cha dola 15,000.
Bryant alilazimika kuvaa kifaa hicho baada ya kuvunjika yake katika michezo yote wakati wa mwaka 2012 katika michezo ya nyota wote.
Pia Bryant alivaa kivaa hicho akiwa anachezea Lakers, na kupachikiwa jina la 'The Masked Mamba'.
0 comments:
Post a Comment