IPYANA STEPHEN MMILIKI WA BLOG YA IGOGI1 NA NIMTANGAZAJI WA RASI FM REDIO 103.7 DOM LEO ANASHEHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA ANAWAALIKA WATO KUJA KUJUMUIKA NAE MCHANA WA LEO RASI FM




asanteni baba na mama kwa kunipenda nakunitunza mpaka hapa nilipo kwa siku ya leo nikisherekea siku yangu ya kuzaliwa HBD to me hakuna aliye jua mapito yangu ya utotoni zaidi yenu mungu awape miaka mingi yakuishi duniani awajalie afya nyema mpende mama mheshimu mama

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

1 comments:

  1. Happy Birth Date brother Ipyana.

    May life & grace be granted unto you and enjoy more yes to accomplish your God given purpose on earth.

    Aisee hebu tutafutane.
    Nicheck WhatsApp kwa namba: 0788 630 639

    Call/Text to: 0653 100 100

    Thank you.

    ReplyDelete