GAZETI LAIBUA UWEZEKANO WA DONALD TRUMP KUKWEPA KWA HILA KULIPA KODI
Gazeti hilo la New York Times limesema hasara hiyo ni kubwa mno na inaweza kuwa ilimuwezesha Trump ambaye ni mgombea urais wa Marekani kwa chama cha Republican, kuweza kutolipa kodi kwa hadi mika 18 kisheria.
Kambi ya kampeni ya Bw. Trump imegoma kutoa mrejesho wa malipo ya kodi anayolipa Bw. Trump kutokana na biashara zake, na pia imesita kukiri tuhuma za kudai kupata hasara pamoja na ukubwa wa hasara hiyo.
0 comments:
Post a Comment