Nafahamu nina watu wangu ambao wanapenda kununua magari mazuri na yenye thamani za juu, hivyo mtandao wa
digitaltrend.com umetaja magari yenye thamani ambayo unaweza kuyanunua kwa mwaka 2016 na ukihitaji kununua magari ya aina hiyo ni lazima mkwanja mrefu ukutoke.
1- Koenigsegg CCXR Trevita
Koenigsegg CCXR Trevita inauzwa dola milioni 4.8 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 10.
2- Lamborghini Veneno
Lamborghini Veneno inauzwa dola milioni 4.5 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 9
3- W Motors Lykan Hypersport
W Motors Lykan Hypersport inauzwa dola milioni 3.2 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 7
4- Limited Edition Bugatti Veryron
Limited Edition Bugatti Veyron inauzwa dola milioni 3.4 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 7
5- Ferrari Pininfarina Sergio
Ferrari Pininfarina Sergio inauzwa dola milioni 3 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 6.
0 comments:
Post a Comment