Bondia Tyson Fury amekiri kutumia dawa za kulevya aina ya cocaine katika mahojiano marefu, ambayo yamebainisha hali ya afya ya akili yake aliyokuwa nayo hivi sasa, huku akisema kuwa kila siku anatarajia kufa.
Bondia huyo mwenye miaka 28 anahofia mabadiliko yake ya tabia, ambapo hivi jumatatu aliandika kuhusu kustaafu ngumi kwa kutumia akaunti yake ya twitta, na kisha baadaye kuandika kuwa ulikuwa ni uongo.
0 comments:
Post a Comment