Kwa mujibu wa shirika la habari la Radio France, Serikali ya Nigeria pia imekanusha taarifa kuwa wasichana hao waliachiwa katika kubadilishana na maafisa wa Boko Haram waliokamatwa na vyombo vya usalama vya Nigeria na tayari inaelezwa kuwa viongozi waandamizi wa Boko Haram nao walikamatwa katika kituo cha polisi cha kukagua magari karibu na mpaka na Cameroon, kwa mujibu wa vyanzo vya usalama.
“Tafadhali ningependa kuwafahamisha kwamba hapakuwa kubadilishana wafungwa, matokeo ya mazungumzo ya muda mrefu na yenye uaminifu kati ya pande husika,”Waziri wa Habari na Utamaduni wa Nigeria, Lai Mohammed
Kwa mujibu wa Lai Mohammed, wasichana 197 waliotekwa nyara na wanamgambo wa kundi la Boko Harami hawajulikani walipo.
Tunaona kuwa hii ni hatua ya kwanza yenye kuamini katika uwezekano wa kuawaachilia wasichana wote wa mjini Chibok wanaoshikiliwa na wanamgambo wa Boko Haram,” Lai Mohammed ameviambia vyombo vya habari Wasichana 21 walioachiliwa Alhamisi hii wamepokelewa mjini Abuja na timu ya madaktari na wanasaikolojia:- Utamaduni wa Nigeria, Lai Mohammed
Serikali yaya Nigeria ina orodha ya mateka walioachiliwa na itawaona familia za wasichana hao kabla ya kutangaza majina yao, kwa mujibu wa Lai Mazungumzo yanaendelea, kwa ajili ya kuwaachilia mateka wengine, kwa mujibu wa Garba Shehu, msemaji wa Ofisi ya rais Nigeria.
Jeshi la Nigeria linaendesha operesheni ya usalama kaskazini mwa nchi, hasa katika msitu wa Sambisa, ambao ni ngome kuu ya wapiganaji Boko Haram
About Unknown
Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com
Phone:0719337774
0 comments:
Post a Comment