Tetemeko la ardhi limeripotiwa kutokea kwenye eneo la ukanda wa ziwa Tanzania na kutikisa katika miji mbalimbali ikiwemo Geita, Mwanza na Bukoba.
Wakati millardayo.com inaendelea kufatilia taarifa zaidi za uhakika, hizi ni baadhi ya picha zilizotumwa na Waandishi wa habari kutoka upande huo wa kanda ya ziwa.
0 comments:
Post a Comment