Mtu wangu wa nguvu alhamisi ya Septemba 15 2016 naomba nikuletee TBT Pichaz za mastaa wa soka ambao wamekuwa wakifanya vizuri katika soka kwa muda mrefu, ila leo naomba nikusogezee TBT picha za staa wa Arsenal Jack Wilshere aliyetimkia AFC Bournemouth kwa mkopo, golikipa wa Arsenal aliyejiunga na AS Roma kwa mkopo Wojciech Szczesny, Robin Van Persie na Steven Gerrard.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment