TBT: Picha za utoto za Lionel Messi, Ronaldinho na Cristiano Ronaldo


Mtu wangu wa nguvu alhamisi ya September 1 2016 naomba nikuletee TBT Pichaz za mastaa wa soka ambao wamekuwa wakifanya vizuri katika soka, leo naomba nikusogezee TBT picha za Cristiano Ronaldo wa Real Madrid, staa wa zamani wa FC Barcelona Ronaldinho Lionel Messi wa FC Barcelona.

2846437.main_image
Ronaldinho
080bb51555f302833a1d93241ed89714
Ronaldinho enzi zake za utoto
maxresdefault
Cristiano Ronaldo
football_25
fadab6223606040bcb8a3b098a945cb5 (1)
Cristiano Ronaldo enzi za utoto
102415-SOCCER-LionelMessi-PI-CH-.vresize.1200.675.high.11
Lionel Messi
football_03
Lionel Messi enzi za utoto
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment