Kundi zima la Rajab and Kithara Taarab lenye kupiga mziki wa mahadhi ya mwambao kutoka Zanzibar, walipotumbuiza siku ya Jumanne Sept 6. ndani ya ukumbi wa The John F. Kennedy Center for the Performing Arts Jijini Washington. Rajab and Kithara watakua hapa Marekani mwezi mzima wakitumbuiza States mbali mbali hapa Marekani. kwa ratiba zao bofya hapacenterstageus.org
Makame Faki akitumbuiza wimbo wa "Salaam Aleikum"
Wataalamu wa upigaji wa vyombo vya mahadhi ya mwambao, mpiga ngoma Foum Faki, (kushoto) akiwa na mpiga bass kitaa, Daudi Shahil, wakitumbuiza wageni waalikwa
Kundi zima la Rajab and Kithara Taarab, Zanzibar walivyotumbuiza Jijini Washington
0 comments:
Post a Comment