MUIGIZAJI WA NOLLYWOOD LAURITTA ONYE ASHANGILIA MEDALI YA DHAHABU KWA KUPIGA SARAKASI


Muigizaji wa Nollywood Lauritta Onye amevunja rekodi ya kurusha tufe kwa kulirusha mita 8.40m na kutwaa medali ya dhahabu katika michuoano ya Paralimpiki Jijini Rio.

Mnaigeria huyo ambaye pia anajulikana kama Laury White alishindwa kuzuia furaha yake na kujikuta akishangilia kwa kupiga sarakasi mbele ya kamera jambo ambalo liliwavutia wengi.

Mwanamichezo huyo wa Nigeria alitumia jina la Laury White katika filamu aliyoshiriki iitwayo Lords of Money ya mwaka 2015.
                                Lauritta Onye akikimbia kwa furaha baada ya kuvunja rekodi
                          Lauritta Onye akipiga sarakasi kuonyesha furaha yake ya ushindi
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment