Nay wa Mitego mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya ameachia nyimbo mpya Sina muda,Ndani ya mashairi ya wimbo huo amegusia mtandao wa kijamii wa instagram
nakuwachana wadada akidai kila mdada instagram ni kisura ukikutana naye live huto amini muonekano wake.
0 comments:
Post a Comment