JAJI MSTAAFU AUSTRALIA AOMBA KUISHI KAMA MKIMBIZI ILI MKIMBIZI AISHI URAIANI


Jaji mstaafu nchini Australia ameomba kubadilishana nafasi na mkimbizi ili jaji huyo aweze kuishi maisha yake aliyobakia katika kambi zinazoshikilia wakimbizi nchini humo.

Jaji mstaafu Jim Macken, 88, amesema amemuandikia Waziri wa Uhamiaji wa Australia, Peter Dutton, ili aweze kubadilishana na mkimbizi mmoja ili yeye achukue nafasi yake ya ukimbizi.

Jaji mstaafu Macken amesema anaelewa kuwa ombi lake hilo si la kawaida, lakini anaomba atekelezewa kwa moyo safi kabisa.
                      Hali ilivyo katika moja ya kambi inayoshikilia wakimbizi Australia
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment