Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Komela’ akiwa na Billnas, Jumanne hii amewatoa udenda mashabiki wake kwa picha hizo za kuvutia.
Huwenda yakawa ni maandalizi na video mpya, lakini mwanadada huyo hakuweka wazi ni nini kinakuja kutoka kwake. Angalia picha.
0 comments:
Post a Comment