Cristiano Ronaldo atashuka dimbani akiwa na Real Madrid kwa mara ya kwanza tangu aumie katika mchezo wa fainali wa Euro 2016, wakati Madrid ikivaana na Osasuna katika ligi ya La Liga hii leo.
Mshambuliaji Ronaldo, 31, alikosa michezo mitatu ya mwanzo ya ligi hiyo yenye ushindani kutokana na kuwa na jeraha katika goti lake.
0 comments:
Post a Comment