Sabby Angel anatualika kuitazama hii video yake mpya ‘Inahusu’


Muigizaji wa filamu mrembo wa Tanzania na muimbaji Salma Tamim aka Sabby Angeltime hii ametuletea hii video mpya ya single yake iitwayo Inahusu, imetayarishwa na Adam Juma kutoka Visual Lab.
Ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako mkali huyo akipita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment