Baada ya mji wa Dubai kuwa kwenye headline za majengo marefu duniani, hivi karibuni Dubai itazidi kuwa eneo la kuvutia zaidi duniani ambapo zimetolewa picha za muonekano wa Hoteli ya kwanza duniani itakayojengwa Dubai na itakuwa na msitu wa mvua. Hoteli hiyo imepangwa kufunguliwa mwaka 2018 ikiwa na beach ya kutengeneza na miti ambayo itakuwa ikitoa ukungu.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment