Moto mkubwa wa nyika umetokea kusini mwa Ufaransa na kulazimisha watu kukimbia eneo hilo kuokoa maisha yao wakiwemo watalii kutoka Uingereza.
Mmoja wa watalii kutoka Uingereza David Roper aliyepo Ufaransa akiambatana na mkewe na watoto wake wadogo wawili amesema moto huo ni janga hatari.
Wakazi wa eneo hilo la kusini mwa Ufaransa wakikimbia moto huo wakiwa na farasi wao
Helkopta ikiwa angani kufanya kazi ya kuuzima moto huo
Magari yaliyokuwa yadi yakiwa yameteketea kwa moto huo wa nyika
0 comments:
Post a Comment