Mbwana Samatta Afanya Mambo Tena Genk...Tazama Goli lake la Ushindi Alilofunga Jana Unknown 2:42:00 AM Edit Mbwana Samatta anazidi kuonyesha uwezo mzuri wa kupachika mabao baada ya jana kupachika bao lililoipa ushindi Genk wa bao mbili kwa moja dhidi ya Oostende., Mbwana Samatta aliingia uwanjani dakika ya 80 na katika dakika 91 akapachika bao Share Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus Share About Unknown Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774 RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment