Good news kwa watanzania wote kwa mwaka 2016 ilikuwa ni headlines za nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta kujiunga na KRC Genk yaUbelgiji, lakini leo July 5 2016 jina la Samatta limerudi tena kwenye headlines za usajili.
Kuanzia usiku wa July 4 hadi leo July 5 habari zilizokuwa zimesambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu Samatta ni kuwa yupo njiani kujiunga na klabu ya AS Roma ya Italia, hii ni taarifa ambayo imeenea kwa kiasi kikubwa hata kufikia baadhi ya wanasoka Tanzaniakutumia social network zao kumpongeza.
0 comments:
Post a Comment