Mtu wangu wa nguvu alhamisi ya July 21 2016 naomba nikuletee TBT Pichaz za mastaa wa soka ambao wamekuwa wakifanya vizuri katika soka kwa muda mrefu, ila leo naomba nikusogezee TBT picha za Carlos Tevez wa Boca Juniors, Theo Walcott, Jack Wilshere wa Arsenal, Lionel Messi wa FC Barcelona, staa wa zamani wa ChelseaFrank Lampard na staa wa zamani wa Man United David Beckham.
Lionel Messi
Theo Walcott
David Beckham
Carlos Tevez
Jack Wilshere
Frank Lampard
Frank Lampard
0 comments:
Post a Comment