SERENA WILLIAMS AFIKIA REKODI YA KUSHINDA GRAND SLAM 22


Mchezaji tenesi namba moja duniani kwa wanawake Serena Williams amesema anajisikia ahueni baada ya kufanikiwa kutwaa taji lake la 22 Grand Slam huko Wimbledon.

Serena mwenye umri wa miaka 34, sasa amefikia rekodi ya Steffi Graf, baada ya kuibuka na ushindi wa seti 7-5 6-3 dhidi ya Angelique Kerber hapo jana.
     Serena Williams akiwa ameupiga mpira katika mchezo huo wa fainali ya Wimbledon
         Serena Williams akiwa anakumbatiana na Angelique Kerber baada ya kumshinda

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment