JAMII YA VIPEPEO YAZUA TAFRANI BAADA YA KUVAMIA FAINALI YA EURO 2016


Maandalizi ya fainali ya Euro 2016 baina ya Ufaransa na Ureno yaligubikwa na tukio la kuvamiwa na kundi la wadudu jamii ya vipepeo waliosababisha bughudha kwa watu mbalimbali.

Wachezaji na mashabiki walilazimika kulikwepa kundi hilo la maelfu ya jamii ya vipepeo lililokuwa likiruka katika maeneo mbalimbali ya dimba la Stade de France Jijini Paris.
               Cristiano Ronaldo akionekana kukerwa na wadudu hao jamii ya vipepeo
   Collina akionyesha kukerwa na hali hiyo ya kujaa uwanjani kwa wadudu hao jamii ya vipepeo
 Beki Pepe akitumia mkono wake kuwapangusa wadudu hao jamii ya vipepeo waliovamia uwanjani.
 Maafisa wa benchi la ufundi la Ufaransa wakihangaishwa na wadudu hao jamii ya vipepeo
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment