AZANIA BANK YATOA MADAWATI 75 KONDOA


Mkurugenzi Uendeshaji wa Azania Bank, Nurdin Semnangwa akizungumza katika hafl fupi ya kukabidhi hundi ya Shs. milioni 6 kwa Mfuko wa Maendeleo wa Kondoa (KDF) jijini Dar es Salaam itakayosaidia ununuaji wa madawati katika Wilaya za Kondoa na Chemba mkoani Dodoma.
Balozi Mstaafu Cyprian Majengo akiongea wakati wa hafla ya makabidhiano ya hundi Shs milioni 6 kwa ajili ya kununulia madawati katika Wilaya za Kondoa na Chemba. Hafla ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Azania Bank, Nurdin Semnangwa akikabidhi hundi ya Shs milioni 6 kwa Balozi Mstaafu Cyprin Majengo. (Picha na Francis Dande).
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment