WAFUPI ZAIDI DUNIANI WALIO KATIKA MAHUSIANO


Ina aminika kuwa Paulo Gabriel da Silva Barros (30 ) na Katyucia Hoshino ( 26 ) ndio binaadamu wafupi zaidi duniani ambao wapo katika mahusiano. 

Wawili hao wote raia wa Brazil walikutana na kuanzisha mahusiano kupitia mitandao ya kijamii zaidi ya miaka 10 iliyopita.
Paulo Gabriel da Silva Barros na Katyucia Hoshino wakijaichia kwa raha zao.
Paulo Gabriel da Silva Barros na Katyucia Hoshino wakifanya manunuzi
                                                                                                      Wakiwa nyumbani kwao
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment