VideoMPYA: Young Killer na Mr Blue wanatualika kuitazama video mpya ‘Kumekucha’ itazame hapa


Star wa Super Nyota 2012 kutoka Mwanza, Young Killer ameshasikika kwenye ngoma nyingi zake na nyingine ambazo kapewa collabo pia.. ni mkali ambaye tayari anafahamika kwenye  muziki.
Leo katuletea hii video mpya ya single Kumekucha ambayo amemshirikisha Mr Blue, ukishaitazama utuachie na comment yako mtu wa nguvu

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment