VIDEO: Kajala na Quick Rocker Ndani ya Mahaba Mazito..Wapeana Mabusu Laivu Bila Chenga Kwenye Gari

Mapenzi ya Kajala na Quick Rocka yamekuwepo kwa muda sasa lakini hakuna hata mmoja amewahi kukiri hadharani.

Hata hivyo penzi linaponoga, si rahisi tena kulificha. Ndio maana Quick ameamua kushare video Instagram inayomuonesha akipeana mabusu ya haja ya staa huyo wa filamu.

“How I dance HAPO na mama lao……mtoto kapiga 6kichwa mbichi kama mtoto wa shule (Tag her),” ameandika Quick kwenye video hiyo.

Watazame Hapa:
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment