Hii imeripotiwa na mtandao wa Daily Mail ambapo nchini China wahudumu wa ndege wanaandaliwa kwa mafunzo makali ya kijeshi, mafunzo hayo yametolewa ili kuwaandaa pale dharura inapotokea kwenye anga. Baada ya kuhitimu mafunzo wamechaguliwa kuwa maofisa usalama wa anga mbali na majukumu yao mengine ya uhudumu ndani ya ndege.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment