Ujerumani na Poland wametoka sare tasa ya kwanza katika michuano ya Euro 2016, wakati timu zote hizo mbili zikipambana kufanikisha kutinga hatua ya mtoano.
Timu hizo zote zina pointi nne na zitafanikiwa kutinga hatua ya 16 bora iwapo zitaepuka kipigo katika michezo yao ya mwisho ya kundi C itakayochezwa siku ya jumanne.
Mchezaji wa Ujerumani Mesut Ozil akijaribu kuepuka rafu aliyochezewa
Kipa Fabianski akiruka juu kudaka mpira kati kati ya msitu wa wachezaji
0 comments:
Post a Comment