Siku sita za Samuel Eto’o na mkewe wakienjoy ndani ya ndoa yao


Mchezaji na staa wa zamani wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Cameroon Samuel Eto’o June 14 2016, zilionekana picha na taarifa zake za yeye kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Georgette Tra Lou, ndoa ilifanyika Stezzano Italia.

3
Mtu wangu wa nguvu naomba nikuletee picha tatu za Samuel Eto’o siku sita baada ya kufunga ndoa, akiwa na mke wake Georgette Tra Lou katika mapumziko yao ya ndoa na wakati huu ambao Ligi za Ulaya zimemalizika.
2
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment