Nyani mmoja amesababisha kukosekana umeme karibu nchi nzima ya Kenya baada ya kuanguka kwenye eneo muhimu la mitambo ya umeme.
Nyani huyo aliangukia kwenye transfoma katika bwawa kuu la kuzalisha umeme Kenya la Gitaru siku ya jumanne, taarifa ya kampuni ya umeme ya KenGen imeeleza.
0 comments:
Post a Comment