MASHAURI WA MAHAKAMA YA ULAYA ATOA USHAURI WA KUZITEGA KAMPUNI ZINAZOZUIA VAZI LA HIJABU


Mshauri wa Mahakama ya Ulaya amesema kuwa kampuni nchini Ulaya zitaruhusiwa kuzuia uvaaji wa vazi la hijabu ama kitambaa cha kichwani makazini, iwapo tu watazuia alama zote za kidini na za kisiasa katika maeneo ya kazi.

Mshauri huyo wa Mahakama ya Sheria ya Ulaya, iwapo alama za kidini zinazoonekana na za kisiasa zitapigwa marufuku katika sera ya mavazi kazini, basi vazi la hijabu nalo lipigwe marufuku pia makazini.

Mshauri huyo Mwanasheria Mkuu Juliane Kokott amesema iwapo mwajiriwa hawezi kuicha jinsia yake, asili yake, umri wake ama ulemavu wake aingiapo kwenye mlango wa ofisi, basi yeye naye hawezi kudhibiti imani za watu katika maeneo ya kazi.

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment