Kenya imesema itafunga kambi zake za wakimbizi ifikapo mwezi Novemba mwaka huu. Kenya imesema serikali itarejesha wakimbizi wote- wapatao laki sita- makwao, au katika nchi zitakazokubali kuwapokea. Nini maoni yako kuhusu hatua hii?

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment