Muaji huyo Michael Madison amehukumiwa adhabu ya kifo kwa kumuua Shirelda Terry, 18, Angela Deskins, 38, na Shetisha Sheele, 28, huko Ohio Julai 2013.
Baba wa marehemu Shirelda Terry, Van Terry alikuwa akiielezea mahakama namna alivyompoteza binti yake, baada ya muuaji wake kuhukumiwa adhabu ya kifo, na ghafla alimrukia muaji huyo aliyekuwa akitabasamu.
Maafisa wa Mahakama na polisi wakijaribu kumdhibiti Baba wa marehemu Shirelda
Marehemu Shirelda Terry
0 comments:
Post a Comment