WAZAZI WA JAMIE VARDY WASUSA KUHUDHURIA HARUSI YAKE KESHO


Mcheza soka wa Uingereza Jamie Vardy anatarajiwa kumuoa mchumba wake kwa harusi ya kifahari itakayofanyika hapo kesho.

Kwenye harusi ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29, mpambe wa kiume atakuwa David Nugent, katika harusi hiyo itakayofanyika Peckforton Castle, huko Cheshire.

Hata hivyo harusi hiyo haitohudhuriwa na mama yake mzazi pamoja na baba wa kambo ambao hawamkubali mkwe wao huyo mtarajiwa Becky Nicholson.
  Jamie Vardy akiwa ameshikilia kombe la Ligi Kuu ya Uingereza akiwa na mchumba wake
                           Baba wa kambo wa Jamie Vardy, Phil hatohudhuria harusi

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment