Staa wa hit single kama ‘kigeugeu‘ na nyinginezo, Jaguar kutoka Kenya kaibukiaJohannesburg South Africa time hii na kuwapa kolabo wakali wengine wa Afrika ‘Mafikizolo‘ na video yao ndio hii hapa chini, ukishamaliza kuitazama sio mbaya ukituachia na comment yako Jaguar atapita kujua Wabongo wameipokeaje.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment