Michuano ya Kombe la dunia ndio michuano ambayo inatazamwa na watu wengi zaidi duniani, hamu au msisimko wa mashindano hayo unatokana na utaratibu wake wa kufanyika kila baada ya miaka minne, kitu ambacho kinafanya yawe na mvuto zaidi. Mtu wangu wa nguvu nimekuletea video ya matukio 10 ya kushangaza katika historia ya Kombe la dunia.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment