TBT: Pichaz 4 za Diamond na Alikiba walizowahi kupiga pamoja


Mtu wangu wa nguvu najua sasa hivi imekuwa kawaida kwa kila mtu kutumia siku ya Alhamisi kuweka picha zake za zamani katika social network, lengo likiwa kama kukumbukia maisha au tukio fulani la nyuma, mtu wangu wa nguvu nimekuletea pichaz za zamani za Diamond na Alikiba walizowahi kupiga pamoja.

tz_dreamteam
Kutoka kushoto AYAlikibaRose MuhandoDiamond na Mwana FA
kiba_diamond
Diamond-Ali-Kiba-na-Berry-Black1
Kutoka kushoto DiamondAlikiba na Berry Black
ali-2
Kutoka kushoto Alikiba, shabiki na Diamond
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment