Picha 4: Jengo la NSSF eneo la Akiba lawaka Moto


Jengo lililoko eneo la akiba posta jijini Dar es salaam limeripotiwa kuwaka moto kuanzia majira ya jioni na chanzo cha moto huo kinasemekana ni mtungi wa gesi kulipuka na kusababisha moto, inasemekana hakuna madhara makubwa kutokana na zimamoto kufika kwa wakati katika eneo la tukio.  

IMG-20160506-WA0032
.
jengo kuungua 2
jengo kuungua 1
IMG-20160506-WA0031
Source: MichuziBlog
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment