Mtoto wa kike wa Kim Kardashian na Kanye West, aitwae North anaonekana ameanza kujijenga kuwa miongoni mwa wanamitindo wachanga.
North mwenye miaka miwili alionekana mwenye kuvutia kwa gauni lake akiwa mitaani nchini Cuba pamoja na wazazi wake hao maarufu.
Mtoto huyo wa kwanza wa nyota hao alionekana mwenye furaha akicheza mitaani na wazazi wake Kim na West Jijini Havana.
North akicheza huku akimkimbilia mama yake Kim
Kanye West akicheza na mtoto wake North Jijini Havana
Kanye West, mkewe Kim na mtoto wao North
0 comments:
Post a Comment