Headlines za ngoma za wasanii kuvuja zinazidi kugonga vichwa vya habari, baada ya staa wa Bongofleva Alikiba ngoma yake ya ‘Aje’ kuvuja, staa kutoka USA Chriss Brownimevuja nae ngoma yake ya ‘Bring It Back’ alimshirkisha T-Pain, unaweza kuenjoy kwa kusikiliza dakika 3 na sekunde 46.
0 comments:
Post a Comment