KOCHA LUIS ENRIQUE AWAPONGEZA BARCELONA KUTWAA COPA DEL REY


Kocha Luis Enrique amewapongeza wachezaji wake wa Barcelona kwa kumudu kuifunga Sevilla magoli 2-0 na kutwaa kombe la Copa del Rey, licha ya kumpoteza Javier Mascherano kwa kadi nyekundu katika kipindi cha kwanza.

Mabingwa hao wa Hispania, wameshinda kombe la nne katika msimu huo kufuatia ushindi Kombe la La Liga, Kombe la Dunia kwa Vilabu na Kombe la UEFA Super Cup na jana tena Copa del Rey kwa magoli ya Jordi Alba na Neymar.
                             Neymar akipachika kiufundi goli la pili katika mchezo huo

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment