Mshindi wa shindano la Big Brother Africa mwaka 2014 Idris Sultan amesema kwa sasa anafurahia sana kazi mpya ya utangazaji aliyopata katika kituo cha Radio cha Choice FM kilicho chini ya management moja na kile cha Clouds FM..
Idris Sultan pamoja na kufurahia kazi yake hiyo pia amesema kuwa sasa zile pesa zake alizowekeza kwenye biashara baada tu ya kushinda mtonyo wa Big Brother zimeanza kumlipa na si kweli kwamba amefulia kama watu walivyokuwa wanasema mitandaoni..

0 comments:
Post a Comment