Hii imetajwa kuwa gari ya bei rahisi zaidi nchini China, gari hii inaitwa Jiangnan TT inatengenezwa na kampuni ya Jiangnan Auto, bei yani ni 20,800 yuan na punguzo lake ni mpaka 5,000 yuan. Kwa mahesabu ya haraka haraka ni kama dola za kimarekani $2,415 ambayo ni milioni tano za Bongo.
Cylinder tatu, mafuta ni 0.8 liter ha 36 horsepower, speed ya 120 kilometers per hour (75 miles). Gearbox is a four-speed manual.
0 comments:
Post a Comment