Baada ya kuondolewa vikwazo sasa Cuba imepata fursa ya kuonana uso kwa uso na familia ya Kardashians, ambayo nayo imeamua kwenda kwenye kisiwa hicho kwa mara ya kwanza.
Kim akiwa na mumewe Kanye West na watoto wao wawili wametua Jijini Havana jana na kufanya ziara katika Jiji hilo wakiwa kwenye gari la wazi lenye rangi ya pinki.
Katika gari hilo pia walikuwemo dada zake Kim, Khloe, Kourtney na mtoto wa Kourtney, Mason Disick, ambao watapiga picha za tamthilia yao ya maisha ya uhalisia ya familia hiyo.
Kim akipiga Selfie na Kanye wakikatiza na gari mitaa ya Jiji la Havana
Kim akipiga Selfie ya familia yote
Kim Kardashian akiingia kwenye jengo la makumbusho Jijini Havana
0 comments:
Post a Comment