DANIEL CRAIG ADAIWA KUCHOKA KUCHEZA FILAMU KAMA JAMES BOND


Muigizaji filamu nyota, Daniel Craig, inadaiwa amewaambia mabosi wa studio amechoka kucheza jukumu la James Bond 007.

Taarifa hizo zimeibuka siku chache tu baada ya wabashiri kuanza kubeti kuwa msomi wa Chuo cha Cambridge, Tom Hiddleston atakuwa James Bond ajaye.

Craig ni miongoni mwa waigizaji filamu wanaolipwa fedha nyingi kwa kuigiza, ambapo inaelezwa ameinginza kiasi cha paundi milioni 38 kwenye filamu nne alizoigiza.
       Daniel Craig akiwa katika majukumu yake ya uigizaji kwenye moja ya filamu
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment