Yemi Alade ndani ya nguo za kuogelea kwenye photoshoot ya jarida la OnoBello.



2-1

Kutoka kwenye record lebel ya Effyzzie  staa Yemi Alade ameonekana kwneye toleo jipya la jarida la OnoBello.com akiwa amevalia nguo za kuogelea.
Picha za jarida hili zimesamba mtandaoni na kupendwa na mashabiki wengi wa staa huyu ambaye kwa sasa anatangaza album mpya ya Mama Africa.
1 3 4
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment