Yamenifikia majibu ya droo ya nusu fainali ya UEFA Europa League 2016


Najua tayari umepata majibu ya droo ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, ila UEFAwametoa tena majibu ya droo ya UEFA Europa league iliyokuwa inahusisha timu zaLiverpoolVillarreal, Sevilla na Shakhtar Donetsk. Majibu haya hapa baada ya UEFAkumaliza kuchezesha droo hiyo.

CgE-jFXIAIkddq
Michezo ya kwanza ya nusu fainali hiyo itachezwa April 28 na kurudiana Mei 5 2016
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment