First lady wa zamani wa Kenya mke wa Rais Mwai Kibaki, Lucy Kibaki amefariki
Dunia ambapo taarifa zinasema amekuwa akiugua kwa muda na alikuwa
akitibiwa Kenya kwa takribani mwezi mmoja na baadaye
alipelekwa Uingereza kwa matibabu zaidi ambako mauti yamemkutia huko,
hapa chini ni taarifa aliyoitoa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment