Rais Magufuli na Rais Kagame Kigali leo kwenye kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari



Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania yupo nchini Rwanda kwenye ziara ambayo ameianza April 6 2016 na pamoja na mazungumzo na mwenyeji wake Rais Paul Kagame, Dr. Magufuli ameshiriki katika kumbukumbu ya Wanyarwanda wote waliofariki kwenye mauaji ya Kimbari.

magu 2
Magu 3
Magu
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment